Napenda kuamini ulimaanisha;1.Kutojidhamini: Hii inajumuisha usafi binafsi na mazingira
2.Kuishi mbalimbali kwa kipindi kirefu
3.Kwa wanaume,kuoa wake zaidi ya 2,
4.Umasikini uliokithili
5.Maradhi ya muda mrefu
6.Kuwa bize na kukejeri umuhimu wa mahusiano katika ndoa
Kijana unaiongelea ndoa wakati hata hujaoa!!! Maskini wanainjoi sana ndoa na ndo maana wanazaa watoto wengi kuliko wale ambao wanapesa1.Kutojidhamini: Hii inajumuisha usafi binafsi na mazingira
2.Kuishi mbalimbali kwa kipindi kirefu
3.Kwa wanaume,kuoa wake zaidi ya 2,
4.Umasikini uliokithili
5.Maradhi ya muda mrefu
6.Kuwa bize na kukejeri umuhimu wa mahusiano katika ndoa