Mambo 5 ya kustaajabisha kuhusu Nanjilinji

Mambo 5 ya kustaajabisha kuhusu Nanjilinji

Joined
Jun 9, 2011
Posts
92
Reaction score
53
Nanjilinji ni kijiji kilichopo wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi yafuatayo ni maajabu 5 ya kijiji hiki; 1. Nanjilinji ni kijiji cha msimu hutokea wakati wa mavuno tu 2.Nanjilinji wakazi wake ni wafanyabiashara tu 3. Wafanyabiashara hupeleka mpaka unga wa sembe tani 70 kwa mwaka na yote huisha kijijini hapo 4. Watu wa kijiji hiko huweka mpaka milioni 100 ndani ya nyumba bila kupeleka benki 5. Ni kijiji kinachotajwa mara nyingi zaidi na watu, kinatajwa zaidi ya mara laki tano kwa siku katika mazungumzo ya kawaida.
 
NAk6C.gif
 
Yote sawa ila hapo kwenye milioni 100 siamini kama ni kweli.
 
acha uongo Nanjilinji haiko wilaya ya RUANGWA duuuh!!
 
Hyo ya kutajwa naweza kuamini ila sio kwa idadi hiyo ulotaja ndugu, sijawahi kupita katika kijiwe cha kahawa watu wasitaje Nanjilinji leo ndo nimejua ilipo
 
Nalinjili .. ! Inaweza ikawa neno lenye maana yeyote.? Ina maana gani.?
 
nanjilinji ni eneo lenye jina la ajabu sana kuna mwl. Wangu wa geography alikua analipenda sana.....,..
 
Jumla ya wafanyabiashara wote Nanjilinji huko kilwa kipatimo..kwanza kuna biashara huko mkuu ya kuwa na mtaji wa 100m..
 
Back
Top Bottom