Mambo 10 ya msingi yanayozua mjadala mkubwa kwanini kuwe na Katiba Mpya

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,800
3,221
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania

Katiba mpya ndio mjadala mkubwa kwa sasa

Lakini kama haya mambo ndio yenye gumzo kubwa basi uwepo wa katiba mpya ni swala la lazima na sio la hiyari tena.

1)Maadili ya taifa la Tanzania
2)Mgombea binafsi kuruhusiwa kwenye uchaguzi
3)Wabunge kutokuwa mawaziri na wakuu wa mikoa
4)Muundo wa utawala wa nchi
5)Tume huru ya uchaguzi
6)Suala la muungano kwa ujumla hasa muundo wake
7)Suala la Tanganyika kama sehemu ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania
8)Suala la kuwepo au kutokuwepo kwa serikali ya Mapinduzi ya zanzibar
9)Adhabu ya kifo
10)Usawa halisi wa kijinsia(50:50)
11) Mamlaka na madaraka ya Rais ni makubwa mno.

Kama kuna mtu anapingana na lolote kati ya hayo na kuona katiba mpya si muhimu kwa sasa ajibu kwa hoja na sio kukurupuka tu.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom