Mambo 10 niliyoyaona leo Al Ahly vs Yanga

Naunga mkono hoja
 
Ugonjwa wako wa kuharisha kama kawaida.
 
Kwahiyo haya ni mambo 10 ama 15?
Hii inaonyesha kua Yanga inakupagawisha kiasi kwamba haujui kua huu ni mchana ama usiku?
 
Watu kama hawa ndiyo walitakiwa wafe

Sio mzee mwinyi
Watu kama hao wanakua ndugu zako, ni kuwatoa ndago tu, nakua tajiri.
Sasa anafaida gani kwenye familia?
Sibora mumfanye ndondocha tu, munamuweka mlangoni mwa biashara anakua anaita wateja, kama ni wakiume munampeleka mashambani huko anakua analima bila kupumzika.
 
Nilishasema mangungu anafuga kondoo wengi sana pale ukoloni, na akili za kondoo Kila mtu anazijua zilivyo ndio hizi Sasa, Kama mashabiki na wanachama ndio awa kwanini kina mangungu wasifanye wanachokitaka!
 
Kwa lile nililotaka kuandika ningeandika basi ningekuwa banned kwa mara ya kwanza.

Upunguze ujinga, Yanga imecheza na team ngapi hadi kufika hapo?
 
Mbumbumbu FC leo hamtoboi na timu imeuzwa hamjui
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…