Mambo 10 marufuku kwa wanaume

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,623
Reaction score
2,227
1. Kusomesha mchumba
2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.
3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.
4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.
5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)
6. Kumwita mke wako mama.
7. Kujenga ukweni (jenga kwa wazazi wako)
8. Kupuuza neno lolote lenye welekeo wa dharau, kejeli, au kubezwa na mwanamke/mke wako.
9. Kutegemea mapenzi kutoka kwa mwanamke/mke wako sawa sawa na unavyotamani/unavyotaka iwe.
10. Kulipa mahali kubwa na kufanya sherehe kubwa ya ndoa yako.
 
10 . Hiyoo ukishamaliza tu harusi kesho familia ya mke wote watajazana home leroy
 
Unajua kuna vingine umeongea lakina naona hakuna logic hapo. Mwanamke mnamchukulia sio sawa
 
Jamii ambayo haijui hatari ya kusomesha mchumba, itaweza kuitoa ccm madarakani??
 
Mm nipo comfortable na yote 1-10 coz falsafa yangu ni kuwa MASKINI HAFILISIKI
Nimecheka sana na huu mshangao aisee vip mwenzetu umefanya yepi kat y haya
 
Umeongea ukweli mtupu kwa 100%

Usipoelewa basi ujue utakuwa kama huyu jamaa mwenye hii nyumba.
 
Kumwamini mwanamke Kwa 💯 ni upimbi wa standard gauge hata Mungu atakuona bonge la fala....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…