Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
- Thread starter
-
- #21
Asprin hapa kanasa sina mpizani ndo maana kaniganda haswaaaa
Lazima afurahi maana umependeza hatari sana
Labda tumuulize yaweza kuwa labda pacha ake mamaafacebook ati sugua gaga ni pacha ako?
Naogopa kumezwa na samaki nipeleke mtoni
Ahhhha naona wivu umekujaa hapo wala sina pacha mie na hajanifananisha kabisa ndo.mie huyo
Kwa swag zako izo matata mpizani atoke wapi kama anataka umuwaibishe ashindane na wewe aone hahahahah watu weweeee people mamaafacebook kapendeza jamani
Ahhahha hapo chini sijavaa makata mbuga yangu
Hujanifananisha ndo mie haswaaa
basi nitakupeleka mto msimbazi
Ololo unanivunja vibavu vyangu.
Hapana chezea wewe hahahahah
Hahahahahaha utavunja kabati ale bihatari hahahah lazima utupie vifaa vyamaana lol!
Nani kamganda nani?
Haya sasa...
Nani kamganda nani?
Haya sasa...
Mr Mafikizolo naona anataka.uhakika
Ahhhha yaani siku hiyo mtatia akili natakavotekelezeiyya
Asprini kamganda mamaafacebook
Naona hapo alikua kijana
Haahahahaha lazima niapate uhakika kuwa TBS wamezibitisha kua ni halali
Lazima tukae mbali na wewe
Hahahahha bonge la stylist