Mamaa nakufaa!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Ni sauti iliyokuwa inasikika kutoka nyumba ya kulala wageni iliyo kuwa karibu na njia maeneo flani ya Kizuiani Mbagala!

Kumbe bana kuna njemba ilienda na mtoto wa kike kuvunja amri ya sita! Unaambiwa jamaa huyo alikuwa na Mashine usipime!

Zilikuwa ni kelele nyingi za mdada kiasi kwamba zilistua watu kibao wakafurika kutoa msaada wakijua kuna mtu labda anachinjwa!

Watu kibao pale kuja kuamriwa kufungua mlango binti analalamika ataniua, watu amekubaka? Hapana! Mlielewana? Ndio lakini ana dude kubwa ameniumiza!

Basi pale mabinti kibao kumbe wanamjua jamaa bana wakaanza kusema huyu kiboko mi namjua rafiki yangu alirudisha hela!

Duuuh kuna watu wana Mitarimbo hatari
 
jaman kipimo cha mkono si kipo jaman nini kufia gest.IMENIVUNJA MBAVUU
sijui lijamaa limejisikiaje

hahahahah
 
Kwani huwa hamfanyi upelelezi hata kwa macho tu jamani mpaka unaingia mzima mzima?
 
Si mnajifanyaga mnataka kubwa na anabahati huyo hajakutana na mimi
 
Duh?!!,heading zingine bana,lazima utafungua tu hata kama hutaki.
 
Reactions: ram
Kumbe ndio uzuri wa kulamba koni kwanza unapata muda wa kuikadiria kama inakutosha. Ukiona vipi unatafuta kisingizio unasepa.
 
ha ha ha ha uuuuuuuuuuuuupsi :director:
 
jaman kipimo cha mkono si kipo jaman nini kufia gest.IMENIVUNJA MBAVUU
sijui lijamaa limejisikiaje

hahahahah

hivi unapimaje kwa mikono kujua kama ni kibamia au dude? mi thijui eti
 
Nimekimbia kufungua fasta, nilichokutana nacho nimeishia kucheka tu
Kweli JF never boring

Duh?!!,heading zingine bana,lazima utafungua tu hata kama hutaki.
 
hapo ni mkombozi kwa wale wanaokataa vibamia ............dili hilo changamkieni wadada
 
kwa hiyo mtoa mada unataka kutuambia, huyo Jamaa ana Mguu wa Mtoto.??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…