MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,706
- 21,857
Jay Z na Beyonce wana promote mahusiano ya kijinga duniani. Wanajikuta wana uzungu mwingi hadi wanandokea kwenye ku support ujinga.Rapper Jay-Z's mother, Gloria Carter, has tied the knot with her long time partner, Roxanne Wilshire, in a star-studded wedding in New York.
yaan una source local sana za info hii habari ni kweli na picha zipo fanya kugoogle jina la aliyeolewa utaona habari zaidi ya hii ya harusi yaoTMZ hakuna
Jarida la XXL hakuna
Wewe hii taarifa umetoa wapi??Ivi hao watu walivyo femasi ingekosekana hata kapicha??
Usituchoshe
Kweli inachanganya.Mama yake na Jay Z aitwae Gloria Carte amemuoa mpenzi wake wa siku nyingi Roxanne siku ya jumapili.
Sasa najiuliza huyu Jay Z atakuwa anamuitaje huyo mke wa Mama yake...
ohoostrongly battling HIV
Daaah....[emoji2380][emoji2380] 4rever!!!
Kila LA kheri kwao, ndoa yao idumu milelee.
Nimefurahii mnooo. [emoji8][emoji8]
Hatari sana[emoji2380][emoji2380] 4rever!!!
Kila LA kheri kwao, ndoa yao idumu milelee.
Nimefurahii mnooo. [emoji8][emoji8]
Ruksa kuhoji, niko tayari kukutoa wasi wasiDaaah....
"Hii nimefurahi mno" yako hii...
Nimewaza sana.
Au basi, sina swali.
Tufanye ni furaha tu.
[emoji2380][emoji2380] 4rever!!!
Kila LA kheri kwao, ndoa yao idumu milelee.
Nimefurahii mnooo. [emoji8][emoji8]
Tubaki katiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila jaman kusema ukwel twenden mbele turud nyuma au basi twenden mbele tu
Zaidi ya sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana
Aisee, wewe ni kiumbe wa ajabu sana. Kwa hiyo unasubiri mpaka habari ya starehe na burudani mpaka iandikwe na gazeti la Mfanyakazi ndiyo uiamini?TMZ hakuna
Jarida la XXL hakuna
Wewe hii taarifa umetoa wapi??Ivi hao watu walivyo femasi ingekosekana hata kapicha??
Usituchoshe
Nikiona haya halafu nikajitizama ngozi nyeusi huwa namatani hata nijifinye.Jay Z na Beyonce wana promote mahusiano ya kijinga duniani. Wanajikuta wana uzungu mwingi hadi wanandokea kwenye ku support ujinga.