Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Jamii ipi, na unajuaje kama anakubalika kijamii? madikteta je?hiki siyo cheo/nafasi iliyotajwa kikatibali bali ni jinsi anavyokubalika katka jamii kwa ujumla.
Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?:spy:Samahani kama nimewaudhi, akina mama
Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?:spy:
Samahani kama nimewaudhi, akina mama
kaka wa taifa na dada wa taifa ni wakina nani? Bado bibi na babu wa taifa.
Nasikia kuna issue ya mababa wa mataifa, lakini sijawahi kusikia ma-Mama wa mataifa, Mbona hakuna Gender Balance. Mama wa taifa hili ni nani?:spy:
Samahani kama nimewaudhi, akina mama