usihukumu wanawake wote!itakufanya ushindwe hata kuinjoy hilo penzi jipya !Jamani duniani kuna mambo,mama wa mtoto wangu ambaye tulizaa wote miaka ya 90 nilimwomba tuoane akakataa kabisa na kuniambia nichukue ustaarabu wangu kwani amepata mpenzi wa kuishi naye milele na wanatarajia kufunga ndoa,eti akaniambia mimi na yeye tutalea mtoto tu hakuna jingine zaidi ya hilo,sasa amekuja tena baada ya muda mrefu na kuniambia anataka tuoane haraka sana eti mtoto wangu ananipenda,,jamani nachanganyikiwa kwa sababu nimeshaamua kuoa mwanamke mwingine ambaye tumeanza uhusiano muda na naona ananifaa kabisa kuishi naye,nifanye nini mimi mbona hawa wananwake wanatuchanganya hivi jamani,hii ni story ya kweli naombeni msaada,kwangu mimi sijisikii kabisa kuishi naye kwani alishanikatisha tamaa kwa kunipa vidonge vya kuumiza!
mkuu huyu niliye naye nimeanza naye muda na nafikiri anafaa kabisa na nilishakata sahuri,sasa mama wa mtoto kuja kwa kushtukiza ananichanganya sana
Jamani duniani kuna mambo,mama wa mtoto wangu ambaye tulizaa wote miaka ya 90 nilimwomba tuoane akakataa kabisa na kuniambia nichukue ustaarabu wangu kwani amepata mpenzi wa kuishi naye milele na wanatarajia kufunga ndoa,eti akaniambia mimi na yeye tutalea mtoto tu hakuna jingine zaidi ya hilo,sasa amekuja tena baada ya muda mrefu na kuniambia anataka tuoane haraka sana eti mtoto wangu ananipenda,,jamani nachanganyikiwa kwa sababu nimeshaamua kuoa mwanamke mwingine ambaye tumeanza uhusiano muda na naona ananifaa kabisa kuishi naye,nifanye nini mimi mbona hawa wananwake wanatuchanganya hivi jamani,hii ni story ya kweli naombeni msaada,kwangu mimi sijisikii kabisa kuishi naye kwani alishanikatisha tamaa kwa kunipa vidonge vya kuumiza!
Sasa miaka ya 90 uliweza kupata mtoto? Miaka 22 iliyofuatia ulikuwa unafanyaje?
eeeh bhana eeeh
Muulize MUNGU kwenye sala zako yupi ni mkeo....!
againLara 1.lolest!Weweeee acha woga, mwenzio amesha kutake for GRANTED ndo maana kila siku anabadili demands na anajua utacomply!!! For once be a man and TAKE CONTROL OF THINGS!!!!!! Have your way sio kufuata matakwa ya mama watoto wala demu mpya! Biblia inasema MWANAUME ni kichwa cha familia sasa hiyo kazi ukimuachia mkeo,ndo utashangaa jahazi linazama!<BR><BR>TENA KAMPIME MTOTO DNA MAANA HUKO MBELENI UTASIKIA HUYU MTOTO SI WAKO WALA NINI!!!! SEPA!!!!!