Mama wa mlima wa moto

Huyu atakuwa ana hubiri dini ya yesu maana siku hizi kama hauna kibarua au kazi basi wewe usiwe wa kuchanganye kewa na maisha NO ni kazi yako ni mmoja tuu kuwa na bibilia na kuhubiri na hiyo njoo hapo mtaa wa sikukuu na agreey na weka kabox chako cha saadaka basi utaona hii ndo kweli kazi hautata tena ajira na kiwanja utanunua na utajenga bonge la bangoloo lakini usiwe una cheka cheka kula jewe la nguvu na miwani ya tendi wa kama ya kuchomea werding
 
nimemuona chenel ten, kapungua hadi anatia huruma, we kuvunjiwa mjengo inauma ati, halafu viti vingi vilikuwa wazi inaonekana kondoo washaanza kutawanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…