Mama wa kambo tuwe na ubinadamu

Mama wa kambo tuwe na ubinadamu

Joined
Jul 26, 2013
Posts
5
Reaction score
15
Kuna clip inazunguka mitandaoni ikumuonyesha mtot akimpiga mtoto mwenzie ambaye ni mdogo zaidi kuliko yeye.Huwezi kuiangalia hiyo clip inatia uchungu sana.

Inaonekana mtoto huyo ameagizwa na mama yake ampige huyo mtoto huku yeye akimrekodi kwa simu, huu ni unyama wa hali ya juu. Lakini tatizo lipo kwa baba ya huyo mtoto anayemchukua mtoto mdogo kiasi hicho kutoka kwa mama yake mzazi anakadiriwa kuwa na umri kama wa miaka mitatu hadi nne hivi na kumkabidhi kwa mama wa kambo wa aina hii.

Nashauri dola ifuatilie clip hiyo na kumchukulia hatua huyo mama ili iwe funzo kwa matukio ya unyanyasaji wa watoto
 
Huyo mama wa kambo aletwe hapa aliwe kiboga 24/7 bila kula haraka.
 
Wewe unajuaje kama kaagizwa namama wakambo? Na je hakuna watoto wa mama 1 wasio elewana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom