Eti tunafanya mapambano ya corona
haha itachukua muda
Picha zote wamevaa ila mwisho wameona zinawabana ikabidi tu wazivue!
sasa hapo wameishajisahau wamevua barakoa zao
Mama akirudi tafadhalini akae karantini 14 days
au hata 30 days ili kujiridhisha!
Chanjo aliyopata isiwe sababu ama kigezo cha yote haya!
View attachment 1877374