Mama Tanzania

Mama Tanzania

Emmy Bonny

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
16
Reaction score
4
Ivi kweli Tanzania tutapata kiongozi ambaye si mubaguzi na akawasaidia watu kweli, mimi nadhani hayupo maana nayoyaona katika fikra zangu siyaamini.
 
Pole emmy. Lakini kua na faraja maana hakuna utawala dhalimu uliodumu. Na wanapoondokaga upumbavu wao wote unapotea pia.

Kenya walidhulumiwa na Moi miongo kadhaa. Leo wanafurahia demokrasia japo wana element za ukabila.

Tusiache kukosoa hawa watawala

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
hata nyumbani demokrasia inapokosa watu hawaelewani ingawa ni ndugu, ingekuwa vyema kiongozi anakuwa mgombea binafsi na siyo vyama. naona vyama vinatutesa mpaka watu kufa kwajili ya vyama duu! demokrasia uko wapi?
 
Back
Top Bottom