Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Kufanya biashara ikulu Nyerere alikataa.
Aliyekaidi kaingiza hasara taifa.
Kikwete via Riz wamefanya(forensic deal bilion 37 gone).
Mkapa Kiwira coal mine via Anben wamechimba madini hawakulipa kodi wala ushuru.
Swali.
Hivi unategemea rais au mtoto wake atashindwa kupata tenda na mtu mwingine?
Je, unafikiri rais au mwanae atafanya biashara hiyo kwa uadilifu nakulipa kodi stahiki?
Je, unafikiri TRA wanaweza waka mharass rais au mtoto wake wakati mkurugenzi wa TRA anateuliwa na Rais?
Hivi unafikiri Rais anaweza kushiriki fair competition on deals na raia wa kawaida?.
Nyerere aliona yote hayo akasema Ikulu ni mahala patakatifu, asiwepo mtu wa kuifanya Ikulu yetu pango la walanguzi.
Ingekuwa ulaya kwa deal kama ya Riz, Mwema na Lugumi kwa jeshi la polisi.
1. Riz, angejiuzulu ubunge on moral grounds.
2. Mwema, Lugumi na Riz wangekamatwa na kufikishwa mahakamani.
3. Ingekuwa uingereza wenye mamlaka ya kisiasa wangepigwa marufuku tena kushiriki au kuomba madaraka yoyote ndani ya nchi.
4. Hizo pesa wangezirudisha kwa nguvu na kufilisiwa.
5. Wangefungwa jela.
Lakini kwa kuwa ni Tanzania.
1. Marais hawa watalindwa wasibugudhiwe for the sake of honouring them.
2. Watoto wao watazidi kushindania tender na watazipata sana tu.
3. IGP aliyeshiriki deal na mkwe wake kuipatia hasara nchi billion 37 tshs ataendelea kupokea marupurupu yake kama kawaida na hataguswa.
Hitimisho.
Unafiki haujawahi kumsaidia mtu yeyote. Tunatamani sana maendeleo kwa taifa letu lakini njia tuliyotumia sio yenyewe.
Kama tunataka kuendelea kama taifa lazima wote tukubaliane kutenda haki na kusema ukweli bila kuficha uso.
Kuna watu wameenda jela kwa wizi wa simu au mkoba Kariakoo wakati real thieves wanapigiwa salute na polisi.
Magufuli aache mara moja kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa mafisadi haileti maana kuona magazeti ndiyo yanaanika ukweli huku rais anawapumzisha kazi mafisadi.
Dau rais alisema atapewa ubalozi nasema asimpe kwa kuwa ni mwizi kama si mwizi katumia madaraka yake vibaya.
Sefue rais alisema anatafutia kazi nyingine nasema asipewe kwa kuwa ana kashifa kuwa watanzania wengi wasio na kashifa ambao wanaweza kazi yoyote wapewe.
Truth shall set Tanzania free. Uongo tupa mbali.