dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,990
job true true
Kila MTU angebaki kwenye fani yake ingekuwa poa, aliyesoma kemia ajui uchumi, ajui madhara ya kufyatua,kusomesha no watu,chuki kwa matajiri,kodi kubwa,chochote kifanywacho kwa maagizo ya mwanasiasa serikali hio hio ndo inayoathirika.Nilikuaga namchukuliaga Jiwe labda kuna mahali hua anakosea bahati mbaya tu kibinadamu,ila kuhusu swala la kuongezeka idadi ya watu ndio nikajua Jiwe ni hamnazo mazima !
Ukisikia TZ kupata accident basi ni Jiwe!
Unatumika wewe siyo bure, eti Uzazi wa mpango, sababu umasikini. Ni mawazo ya kijinga kabisa, nani alikuambia kwamba watu wengi ni chanzo cha umasikini? Huo ni utafiti wa mabeberu, wa kimagharibi, ambao wanatumia vi NGOs na wakiwanunua watu kwa viposho uchwara ili wajikute wamenunuliwa kiakili bila kujua, kama wingi wa Watu ni chanzo cha umasikini, basi China ingekuwa masikini kupita nchi zote Duniani, kwa sababu idadi ya watu wake ni sawa na Waafrika wote na Simu zetu. Rwanda na Burundi zingekuwa tajiri kupundukia kwa kuwa na idadi ndogo za watu. Uzazi wa mpango ni mikakati ya wazungu kutafutia ajira watu wao kupitia NGOs. Hivyo ni Upumbavu na ujinga kutumika na wazungu kwa kuaminishwa kwa tafiti feki na za kipumbavu na kijinga. Mtu yeyote ukimuona anapinga ushauri wa JPM ambapo alisema watu wazae watoto ambao wanaweza kuwalea, wasipangiwe, eti zaa 2, 3, au 4 tu. Kama unaweza kuwatunza zaa kadri ya uwezo wako. Cha muhimu tuchape kazi tu. Hata mimi upumbavu wa kufuata mawazo ya kijinga ya Wazungu siyakubali kabisa.Naona sasa mama yangu mambo yamekufika hapa. Japo kuwa kiubinadamu huko duniani ulikuwa sawa lakini hukuweza kusoma alama za nyakati. Hukuweza kumjua bwana mkubwa anataka nini.
Nakumbuka wakati mmoja JK aliwahi kutangaza idadi ya watu ambapo alishtuka sana baada ya kugundua kuwa mwaka 2012 wa Tz tulikuwa tumeongezeka sana na ndipo akaanzisha mpango wa kuhamasisha uzazi wa mpango. Wachumi tunaelewa na tutaendelea kuelewa athari za kufyatua hovyo hovyo kutokana na umasikini wetu.
Watu bado tuna omba omba sana halafu huku tunahamasisha ufyatuaji tena kwa kwenda mbere?
Zile NGOs ulizosema kuwa kuzuiwa kwao kutoa somo la kufyatua kwa mpango hatimaye zimekupeleka lupango bila bango. Pole sana kwa hilo.
Mzee anataka tufyatue na hapangiwi akishasema. Kina Ummy ngoma wanajua kuicheza bila kibao koma. Bado wapo wapo mama, bado wapo wapo sana!
Masikini wanafanya Kazi?Unatumika wewe siyo bure, eti Uzazi wa mpango, sababu umasikini. Ni mawazo ya kijinga kabisa, nani alikuambia kwamba watu wengi ni chanzo cha umasikini? Huo ni utafiti wa mabeberu, wa kimagharibi, ambao wanatumia vi NGOs na wakiwanunua watu kwa viposho uchwara ili wajikute wamenunuliwa kiakili bila kujua, kama wingi wa Watu ni chanzo cha umasikini, basi China ingekuwa masikini kupita nchi zote Duniani, kwa sababu idadi ya watu wake ni sawa na Waafrika wote na Simu zetu. Rwanda na Burundi zingekuwa tajiri kupundukia kwa kuwa na idadi ndogo za watu. Uzazi wa mpango ni mikakati ya wazungu kutafutia ajira watu wao kupitia NGOs. Hivyo ni Upumbavu na ujinga kutumika na wazungu kwa kuaminishwa kwa tafiti feki na za kipumbavu na kijinga. Mtu yeyote ukimuona anapinga ushauri wa JPM ambapo alisema watu wazae watoto ambao wanaweza kuwalea, wasipangiwe, eti zaa 2, 3, au 4 tu. Kama unaweza kuwatunza zaa kadri ya uwezo wako. Cha muhimu tuchape kazi tu. Hata mimi upumbavu wa kufuata mawazo ya kijinga ya Wazungu siyakubali kabisa.
hebu geuka nyuma angalia amepiga hatua ngapi tufike anakotuburuza na tizama MBEREEE bado hatua ngapi tufike tukiwa hoiii???Huyu mtu atatuacha tukiwa taabani kwa kila kitu kuanzia madeni, hali duni ya maisha, n.k.