dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,990
Naona sasa mama yangu mambo yamekufika hapa. Japo kuwa kiubinadamu huko duniani ulikuwa sawa lakini hukuweza kusoma alama za nyakati. Hukuweza kumjua bwana mkubwa anataka nini.
Nakumbuka wakati mmoja JK aliwahi kutangaza idadi ya watu ambapo alishtuka sana baada ya kugundua kuwa mwaka 2012 wa Tz tulikuwa tumeongezeka sana na ndipo akaanzisha mpango wa kuhamasisha uzazi wa mpango. Wachumi tunaelewa na tutaendelea kuelewa athari za kufyatua hovyo hovyo kutokana na umasikini wetu.
Watu bado tuna omba omba sana halafu huku tunahamasisha ufyatuaji tena kwa kwenda mbere?
Zile NGOs ulizosema kuwa kuzuiwa kwao kutoa somo la kufyatua kwa mpango tutajiathiri wenyewe hatimaye zimekupeleka lupango bila bango. Pole sana kwa hilo.
Mzee anataka tufyatue na hapangiwi akishasema. Kina Ummy ngoma wanajua kuicheza bila kibao koma. Bado wapo wapo mama, bado wapo wapo sana. Nasi juhudi tunaziunga kwa kwenda kilimanjaro ingawa bado tupo chini ya mtaro kama mtatiro.