ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
Ni kwako na kizazi chako tu walahiHuyu mtu atatuacha tukiwa taabani kwa kila kitu kuanzia madeni, hali duni ya maisha, n.k.
Mpinga maendeleo wewe
Ni kwako na kizazi chako tu walahiHuyu mtu atatuacha tukiwa taabani kwa kila kitu kuanzia madeni, hali duni ya maisha, n.k.
Hujui unalo ongea, siku utakayo elewa itakuwa too late walahi!
You are completely finished walahi
Hujui unalo ongea, siku utakayo elewa itakuwa too late walahi!
You are completely finished walahi
Lakini mbona alisema pia kama huna ela aka maskini usizae ovyo piaKwa uchumi upi wa kuzaa ovyo? tulitakiwa kujenga kwanza uchumi.
Kusema kweli 2020 tuwe makini la sivyo tuendako ni giza.
Unao uhakika kama hiyo miundo mbinu haiandaliwi muda huu tunavyoongea?. Zahanati mpya 67 zinajengwa kwa ajili ya hao watoto. Na mengine mengi yanaendelea kufanyika.Umechanganya mambo.
Ni vema kwanza kuanda miundo mbinu ya kupokea hilo wimbi jipya la watoto kabla ya kufuta uzazi wa mpango.Tuandae shule na hospitali za kutosha kisha ndio tufute uzazi wa mpango.
Mbona kama umepanic ndugu yetu? Tulia basi moyo ukae sehemu yake.Unatumika wewe siyo bure, eti Uzazi wa mpango, sababu umasikini. Ni mawazo ya kijinga kabisa, nani alikuambia kwamba watu wengi ni chanzo cha umasikini? Huo ni utafiti wa mabeberu, wa kimagharibi, ambao wanatumia vi NGOs na wakiwanunua watu kwa viposho uchwara ili wajikute wamenunuliwa kiakili bila kujua, kama wingi wa Watu ni chanzo cha umasikini, basi China ingekuwa masikini kupita nchi zote Duniani, kwa sababu idadi ya watu wake ni sawa na Waafrika wote na Simu zetu. Rwanda na Burundi zingekuwa tajiri kupundukia kwa kuwa na idadi ndogo za watu. Uzazi wa mpango ni mikakati ya wazungu kutafutia ajira watu wao kupitia NGOs. Hivyo ni Upumbavu na ujinga kutumika na wazungu kwa kuaminishwa kwa tafiti feki na za kipumbavu na kijinga. Mtu yeyote ukimuona anapinga ushauri wa JPM ambapo alisema watu wazae watoto ambao wanaweza kuwalea, wasipangiwe, eti zaa 2, 3, au 4 tu. Kama unaweza kuwatunza zaa kadri ya uwezo wako. Cha muhimu tuchape kazi tu. Hata mimi upumbavu wa kufuata mawazo ya kijinga ya Wazungu siyakubali kabisa.
Pale Palestina ambapo ni kilometer 4 kutoka bohari kuu ya madawa pharmacy wanatoa paracetamol tu, wewe unasherehekea majiwe ya msingi ya ujenzi wa zahanati kilomita 896 kutoka bohari ya madawa.Unao uhakika kama hiyo miundo mbinu haiandaliwi muda huu tunavyoongea?. Zahanati mpya 67 zinajengwa kwa ajili ya hao watoto. Na mengine mengi yanaendelea kufanyika.
Bado unachanganya mambo...Unao uhakika kama hiyo miundo mbinu haiandaliwi muda huu tunavyoongea?. Zahanati mpya 67 zinajengwa kwa ajili ya hao watoto. Na mengine mengi yanaendelea kufanyika.
Mkuu mambo yote yanaanzia kichwani. Ukiwa na mfumo sahihi wa elimu hautaogopa wingi wa watu.Bado unachanganya mambo...
Je hizo zahanati zina madaktari wa kutosha?Je kunaa vifaa tiba vta kutosha?Je huduma za afya ziko karibu na wamanchi?Je kuna madawa ya kutosha?
Je ni nchi gani nyingine imepiga marufuku uzazi wa mpango?
Je tulifanya utafiti tukajiridhisha kuwa uzaI wa mpango hauna tija au tuna fata tu mawazo ya mtu mmoja?
Je uzazi wa mpango haujapunguza mimba zisizotarajiwa na masuala ya abortion?
Baba mimi kilio changu kipo palepale.Mkuu mambo yote yanaanzia kichwani. Ukiwa na mfumo sahihi wa elimu hautaogopa wingi wa watu.
Kuna nchi ambazo zina idadi ndogo ya watu na bado ni maskini, kuna nchi zenye watu wengi sana na ni tajiri.