Mama Samia agawa sambusa kwa maofisa wa jeshi

ye na big ndiyo stail yao kugawa pipi,sambusa,karanga nk. Chamhm watu tuone viwanda maana ndo sera kubwa ya kiuchumi waliyoibeba. Mbali na hilo hamna lolote lakukumbukwa
 
Sambusa??? Kawagaia maofisa wote? Mamaaa, walikua maofisa wa ngapi? Jamani kwanini wameamua kumfanyia mama hivyo???
 
Yule aliepita alikuwa anatembea na mikasi kwa vl hakuna huu ni msimu wa Kesi tu mwache agawe sambusa, visheti, kahawa hadi 2020
 
BQ-WDzvA9kx.jpg
 
Back
Top Bottom