Mama Rwakatare kupiga makofi bungeni kuunga mkono ya msaliti auawe kunatufundisha nini?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Mama Ni kiongoz wa kiroho na apaswi kushuhudia au kuhukumu, Leo ameonekana akishangalia hoja ya msalito kuuwawa huku mtoa hoja akimtaja msaliti kwa jina la zito kabwe.

Kiongozi huyu wa dini anatoa dira na mwelekeo gani kwa wananchi? Nini msimamo wake kwenye suala la mauhaji?

Upande mwingine, Nini faiada wanayopata wananchi kwa kuuwawa kwa baadhi ya watu wanaonekana ni wasaliti? Je, tunajenga taifa lisiloamini kwama mkosaji anapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya dola?
 
Nabii wa uongo yule anadnganya wapumbavu na wajinga tu kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu. Lakini yule ni wakala wa sheitwani
 
Mama Ni kiongoz wa kiroho na apaswi kushuhudia au kuhukumu, Leo ameonekana akishangalia hoja ya msalito kuuwawa huku mtoa hoja akimtaja msaliti kwa jina la zito kabwe.

Kiongozi huyu wa dini anatoa dira na mwelekeo gani kwa wananchi? Nini msimamo wake kwenye suala la mauhaji?

Upande mwingine, Nini faiada wanayopata wananchi kwa kuuwawa kwa baadhi ya watu wanaonekana ni wasaliti? Je, tunajenga taifa lisiloamini kwama mkosaji anapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya dola?
Kwa sababu wameshazoea.
Wamemuua ben, azor kwa hio wanaon ni jambo tu la kawaida
 
Kunatufundisha Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya manabii wa uongo, wachumia tumbo kwa jina la Yesu.

Aliwadanganya wanawake wakajaa kanisani kwake kisa eti upepo wa kisulisuli, na wanaume nao kusikia wanawake wazuri watakuwa pale nao wakajazana kudaka watoto wazuri, huku nabii akakamata sadaka za kutosha! mwanamke ana mbinu za biashara yule!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Betty hivi unaamini kabisa kwa asilimia mia moja huyu mama ni mtumishi thabiti wa Mungu? Huyu analitumia tu jina la Mungu kwa manufaa binafsi...
Mama Ni kiongoz wa kiroho na apaswi kushuhudia au kuhukumu, Leo ameonekana akishangalia hoja ya msalito kuuwawa huku mtoa hoja akimtaja msaliti kwa jina la zito kabwe.

Kiongozi huyu wa dini anatoa dira na mwelekeo gani kwa wananchi? Nini msimamo wake kwenye suala la mauhaji?

Upande mwingine, Nini faiada wanayopata wananchi kwa kuuwawa kwa baadhi ya watu wanaonekana ni wasaliti? Je, tunajenga taifa lisiloamini kwama mkosaji anapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya dola?

Jr
 
Sio lwakatare tuu...Ni aibu bunge kuunga mkono mauaji ya MTU kwakisingizio chochote huku wao wakiwa ndiyo watunga sheria wakuu!! Ilipaswa kauli ile ifutwe na isiingie kwenye Hansard. Ukisema binge la hovyo unashughulikiwa basis tunasema kimoyomoyo!! Viongozi Dunia imewameza wanaingilia kazi za Mungu kunawale wanajidai hawasaini hukumu ya kifo lkn wanaruhusu watu wauwawe hovyo uraiani tena kwakosa la kuongea tuu...wakati wangeweza kujibiwa yakaisha!!!
 
Tuachane na hilo la Lwakatare...

Najaribu kuelewa, hivi ni kweli kuna mbunge aliyewakilisha hoja ya bunge kutoa hukumu ya kifo?

Halafu hoja hiyo ikapitishwa na bunge?
 
Mama Ni kiongoz wa kiroho na apaswi kushuhudia au kuhukumu, Leo ameonekana akishangalia hoja ya msalito kuuwawa huku mtoa hoja akimtaja msaliti kwa jina la zito kabwe.

Kiongozi huyu wa dini anatoa dira na mwelekeo gani kwa wananchi? Nini msimamo wake kwenye suala la mauhaji?

Upande mwingine, Nini faiada wanayopata wananchi kwa kuuwawa kwa baadhi ya watu wanaonekana ni wasaliti? Je, tunajenga taifa lisiloamini kwama mkosaji anapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya dola?

She is a FAKE PASTOR. Do not waste your energy into thinking otherwise !!! She's FAKE !!!!
 
Mama Ni kiongoz wa kiroho na apaswi kushuhudia au kuhukumu, Leo ameonekana akishangalia hoja ya msalito kuuwawa huku mtoa hoja akimtaja msaliti kwa jina la zito kabwe.

Kiongozi huyu wa dini anatoa dira na mwelekeo gani kwa wananchi? Nini msimamo wake kwenye suala la mauhaji?

Upande mwingine, Nini faiada wanayopata wananchi kwa kuuwawa kwa baadhi ya watu wanaonekana ni wasaliti? Je, tunajenga taifa lisiloamini kwama mkosaji anapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya dola?
Ni wapumbavu wasiojielewa, nadhani kwa ujinga wao hawajui kama vita kama hizi zina consequences zitakazogharimu maisha yao pia hao wanaosifia mfano kama Kangi angetunga sheria mbovu dhidi ya mahabusu leo na yeye zingemshikilia.

Binafsi nawaheshimu sana watu wenye nia ya dhati ya kuleta na kupigania uhuru wa mawazo.

Jamii haiwezi kuendelea kwa mawazo ya kukopa ya mtu mmoja bali kwa kuwa na fikra huru.

Vyombo vingi nchini havina uhuru kwa mujibu wa sheria katika kutekeleza majukumu yao kwa sababu ya threat ya mtu mmoja.

Hatuwezi kuendelea, ni vyema kuwaheshimu na kujua hawa watu wanatetea uhuru wetu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom