Asee Mh Raisi Lowasa atakaevikwa madaraka ya kuongoza nchi hii wiki chache zijazo aliotea kwelikweli, hiyo ndio zawadi ya mke mwema atokae kwa Mungu, yaani hata ukisema don't judge the book by cover, hapo kwa mama yetu wa Tanzania ( First Lady to be) unakua huna shaka kwamba ana enlightened soul!
Sio rahisi mtu alievulugwavulugwa kua na tabasamu lenye rutba namna hiyo, she is truly unique and special na Lowasa anatambua hilo.
Big up bi mkubwa, tunasubiri ushindi wa mzee october 25. Amen.............