kajembejr JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,321 Oct 12, 2015 #121 Nawezaje kujua ratiba za maeneo anayo kwenda huyu mama jamaani?
M Manosa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 4,510 Reaction score 3,595 Oct 12, 2015 #122 gsu said: Hivi morogoro napo kunawachaga? Click to expand... Hapo senegal
S SolaceFlair Member Joined Oct 8, 2015 Posts 16 Reaction score 1 Oct 12, 2015 #123 Kwa kweli huyu mama ni jembe sana nina kila sababu ya Kuichagua ukawa hakika huyu mama atamuongoza vema mume wake Viva Ukawa
Kwa kweli huyu mama ni jembe sana nina kila sababu ya Kuichagua ukawa hakika huyu mama atamuongoza vema mume wake Viva Ukawa
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,378 Reaction score 13,452 Oct 12, 2015 #124 kuwait kwa saddam apo
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,766 Reaction score 26,156 Oct 12, 2015 #125 Hata Damia Suluhu na malori yake na kampani ya wasanii wao hajawahi kukusanya watu hivi.
Msaranga JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 956 Reaction score 229 Oct 12, 2015 #126 Hongera first lady wa ukawa
Supervisor JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 559 Reaction score 208 Oct 12, 2015 #127 Huyu first lady jamani dah anapendeka bure tu
MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Oct 12, 2015 #128 Nilichokipenda zaidi kwenye huu mkutano waliohuzuria wengi wanaonekana ni WANAWAKE. Hii ni ishara kuwa ile "mama sema na mwanao ya CCM" imekufa kicho cha mende. UKAWA na mama yetu Regina Lowassa, CCM na mama yao Wema Sepetu.
Nilichokipenda zaidi kwenye huu mkutano waliohuzuria wengi wanaonekana ni WANAWAKE. Hii ni ishara kuwa ile "mama sema na mwanao ya CCM" imekufa kicho cha mende. UKAWA na mama yetu Regina Lowassa, CCM na mama yao Wema Sepetu.
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Oct 12, 2015 #129 babatovu said: Wapi J.Mshumbushi..?? Click to expand... Anatafuna mabilioni yake. Au unamuulizia J. Magufuli?
babatovu said: Wapi J.Mshumbushi..?? Click to expand... Anatafuna mabilioni yake. Au unamuulizia J. Magufuli?
HeartBreak JF-Expert Member Joined Apr 21, 2008 Posts 346 Reaction score 29 Oct 12, 2015 #130 hapo ndio waweza kutambua kiongozi ni mama......anajua, anaelewa baba yuko katika vita!!!! lowassa anatosha
hapo ndio waweza kutambua kiongozi ni mama......anajua, anaelewa baba yuko katika vita!!!! lowassa anatosha