Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,112 Reaction score 7,158 Feb 9, 2025 #1 Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi mitungi ya Gesi! Rais ameamua kumtua Mama kuni kichwani
Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi mitungi ya Gesi! Rais ameamua kumtua Mama kuni kichwani
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 3,221 Reaction score 6,108 Feb 9, 2025 #2 Zoezi linaanza lini
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,120 Reaction score 871,374 Feb 9, 2025 #3 Mpaka huu uchaguzi upite watu watakuwa wametumika vya kutosha
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,006 Reaction score 288,270 Feb 9, 2025 #4 Halafu gesi ikiisha watawajazia?
Thebroker JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 4,308 Reaction score 7,475 Feb 10, 2025 #5 T Mkalukungone mwamba said: Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi mitungi ya Gesi! Rais ameamua kumtua Mama kuni kichwani Click to expand... Tivu ake anasemaje?
T Mkalukungone mwamba said: Katika harakati za kampeni kutoka kwa machama promax =============== Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao kwa ushirikiano na Lake Gas tutahakikisha kila kijiji, kila kata na kila wilaya tanakabidhi mitungi ya Gesi! Rais ameamua kumtua Mama kuni kichwani Click to expand... Tivu ake anasemaje?