mama na mwana

QDS

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
5
Reaction score
2
Mama:ingiza haraka

Mtoto:wapi?

Mama:kwani huoni shimo? We mwanaume bwana

Mtoto:nashindwa mama

Mama:jitahidi nakutegemea

Mtoto:kumbe ni kazi hivi?

Mama:malizia kabla babayako hajaja

Mtoto:kwani akija itakuwaje

Mama:fanya haraka ingiza uzi kwenye sindano, tumalize kushona pazia, nimuandalie chakula kabla hajarudi
 
Haina mashiko.
 

hahahahaha
 
Haina mashiko.
Mashiko ya nini? Yaani hayo maneno kwenye joke: ingiza kwenye shimo, fanya haraka etc hayakufanyi kustuka?Joke ni suspense builder na nimeipenda sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…