Mama mwenye nyumba na ndoto

Mama mwenye nyumba na ndoto

mzalendo91

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
430
Reaction score
138
Baada ya kisa cha juzi kuhusu usumbufu ninaoupata kwa mabinti wa mama mwenye nyumba...

Vioja vingine nimeanza kuviona jana baada ya kuota kuwa mama mwenye nyumba yangu kanifuata usiku chumban na kuwa kanikalia juu yangu bila kuelewa ni nini anafanya...

Ila baada ya kushituka usingizin nkajikuta ninajihisi uchovu mwingi

Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
Pole sana Mkuu! Inawezekana ka-mama kamejiservia!! Hujiangalia vizuri Mkuu? Au mengine unatuficha? Mimi kuna siku nimeota kibibi jirani yangu kimeninyonga mkono, kesho yake kuamka mkono umeteguka ikabidi nifunge bandage. Kalivyoniona nimefunga hivyo kakajidai kuniuliza mkono umekuwaje baba? Nami kukadhihirishia kuwa nilikaona kwenye ndoto nikakajibu kuna m-bibi kaninyonga mkono wangu usiku, kaliloa utafikri kamenyeshewa mvua ya masika!

Kuna mdau kasema nenda umsimlie huyo mama inaweza kusaidia! Vinginevyo jiandae kumtia mimba huyo mama maana game itakuwa kila siku akitamani tu!
 
Yashakuwa hayo tena... Embu wacha kwanza nisikilizie kama hii hali itajirudia tena ndipo nimface live

Back
Top Bottom