Mama mtu mzima atembea nusu uchi barabarani bila wogo wowote akitafuta wateja wa kuwapa uroda

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281



Mtu mzima huyo anakata mitaa akiwa na Fegi mdomoni na Kiroba mkononi
Wadau katika pitapita mitaani nilikutana na mama mtu mzima akifanya uchangudoa mitaani mchana kweupee bila hata ya kuwa na aibu!





Kikielekea dukani kuongeza kiroba na sigara





Baada ya kuambiwa lile ni duka la vifaa akaamua kununua kwenye kioksi na hapa anaomba moto




Alipoona watu wanamjalia akaamua ajikate huku akitingisha vikalio vyake!
 
Me kama nimemkubali vile!! Sio kimapenzi, ila si nyie nyie ni vinara wa kusema na kushabikia slogan za "live as you want and not how people want" sijui "don't copy anyone be original" mara "I dont care what people think I live my life" Haya sasa bibi wa watu mbona mnam judge!
I had to dare talk openly wakuu!
 
Haya haya kwa vijana wanaotafuta wapenzi walio serious...si mnacheki sura ya kazi hiyo?
 
Mh! Huyu ndo unaambiwa ni mtoto wa baba yako aliemzaa nje ya ndoa yaani kuanzia sasa ni dada yako wa damu duh!!!
 
huyu namfahamu. usiku mmoja kigamboni kwenye bar ya club kakara,mi na jamaa zangu tulikua tuna rap freestyle,mara akaunga na fegi yake na kiroba hivyohivyo akaanza kuchana mbaya!! nadhani bibi cheka hamwezi huyu. Bibi bomba!!
 
Kwa tamaa zangu naweza kumchukua,je akinikazia itakuaje? Anaonyesha yupo fiti hata mkono
 



Biashara ni kujitangaza. Atakuwa ni Mnigeria maana naona hiyo sura tu.
 
Kwa umri wake anaweza akawa na watoto kadhaa wanaoingia humu JF! Ningetamani thread hii iende
JLW.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…