Smile na
Preta siku mkiwa na watoto mtaona kisha mtajua kwanini mama stands for everything. Tena ukitaka ku win ndoa yako uish bila matatizo kuwa shosti wa mama mkwe. yaani zake yeye ni vijisent kidogo kwenye akaunti, na kitenge japo mara moja kwa miez kadhaa wee kwa raha zako hutopata usumbufu kabisa. ukitaka kumkoleza zaid basi nunua vitenge sare siku wewe vaa na yeye avae lol ataona hakunaga kama wewe tena.
kwa mkwe kuwa mkorofi juu ya mkamwana inategemea sana first approach yako kwake, hasa ukiwa mchoyo mbona utamkoma?