usilazimishe ndoa. ukiona mzazi amekataa usioolewe au kuoa mtu, achana naye kabisa huyo binti, wazazi huwa na laana. kuna raha yake kupewa baraka zote za wazazi kwenye ndoa. mkeo asije tembea kwenye laana ya mamaa hadi uzeeni ukahangaika nayo hadi uchoke.