Mama mkwe amefanikiwa!

jamani k azi kweli kweli

cha kufanya kaa nae huyo binti chini mueleweshe anavyofanya sio vyema, ukiona anarudia kamchezo ka kukuibia kwenye wallet yako tafuta wazee wakushauri namna ya kufanya ikishindikana achana nae kabisa taftuta mwingine
 
Na huyo mamA mkwe ukienda kunywa nae pombe tu mnadinyana
 
Asante sana mtani.....
huyu ndugu yenu anahitaji kukua kwanza ndo aingie huku, mwambie asiwe na haraka

Na kweli nadhani anapaswa awe mwanaume kwanza maana uvulana wamsumbua...

Kakubali yeye mwenyewe 'kurithishwa' mdogo mtu pasipo shuruti yoyote lakini leo twaja liliwa kina siye...
 
Kama hukusoma thread iliyopita itakuwa ngumu kuelewa hii!!!Hivyo pita ndg yangu kwani hutakuwa na cha kunishauri!!!Uzi huo ni kwa wale waliohusika kunishauri kwenye last thread!!!


Weka hilo angalizo kwenye heading!!
 
Na kweli nadhani anapaswa awe mwanaume kwanza maana uvulana wamsumbua...

Kakubali yeye mwenyewe 'kurithishwa' mdogo mtu pasipo shuruti yoyote lakini leo twaja liliwa kina siye...
hiyo familia inaonekana ni pesa mbele, kuanzia wazazi hadi watoto, sasa sijui anategemea nini!
 
mh mapenzi jamani,acha yaitwe mapenzi tu maana.....!
 

Kama nakumbuka vzr wengi tulikushauri usikubaliane na hilo jambo, lakin matokeo yake kumbe mwenzetu ulienda kubeba huyo mdogo mtu, sasa leo tena unarudi kututaka ushauri wakati ule wa mwanzo hukuufata, tunahakika gani wasasahivi utaufata? na inaelekea wewe na huo upande unaojibebea wanawake wote hamna maadili, hivi kweli inawezekana vipi utembee na dada mtu tena bila hata ndoa wazazi wa binti wanashabikia mara mahusinao yanakufa kwa dada mtu mama mtu anakung'ang'ania beba na mdogo mtu mkaendeleze uzinifu na wewe bila hata hofu unabeba tu, hv hata ndugu huna waliotimamu kidogo wakakuweka sawa?
 
Huna mke, hapo una Gubegube acha ufala wewe inaelekea Elimu haijakusaidia kitu
 
ukweli ni kwamba hukufanya vema kuamua kuishi na mdogo wa mwanamke ambaye ulikuwa unakusudia kumuoa, anyway kwasababu umeshafanya kosa, maji yakimwagika hayazoleki wanasemaga hivyo, ila haya ya kwako yana zoleka.

Kwanza nikuulize, dada mtu response yake baada ya wewe kuamua kuishi na mdogo wake ni ipi? na je anakuita shemeji? na je ikitokea siku mmekumbukana, mnaweza kusita kuendelea kweli? na je, iwapo mkiachana na mdogo huyo mama akikushauri uoe mtoto wa dada yake utasita kukubali? wewe unaoa kwa sababu unapenda au kwasababu unapendwa na ukoo? nakushauri kwanza acha pombe, mrudie Mungu kwa dhati, halafu muombe akupe mke mwema!!!
 
Na kweli nadhani anapaswa awe mwanaume kwanza maana uvulana wamsumbua...

Kakubali yeye mwenyewe 'kurithishwa' mdogo mtu pasipo shuruti yoyote lakini leo twaja liliwa kina siye...

Hata ungekuwa wewe ungechukua mdogo mtu manake ni msichana mwenye sifa za kutosha kuolewa kasoro hii ambayo ilkijificha ya udokozi!!!!
 
Dah sikio la kufa alisikii dawa kwa usahuri wote ule wajf mkuu ulipuza ndio hayo matokeo yake
 
i see.......



 

Kwanza kabisa nikushukuru kwa ushauri wako japo swala la kunywa pombe ni la mtu binafsi as long haina madhara kwangu!!!!Pili huyo dada mtu alilidhia na tunaheshimiana sana!!!kwa ujumla swala hili halikuwa na shida japo mwanzoni ilitaka kuleta mtafaruku ktk familia yao,hivyo tuliyaweka sawa;hivyo hali ipo vizuri tu!!!Mimi nilifanya maamuzi magumu kumchukua mdogo mtu kwani alionesha kunikubali nami nikakubali kuwa naye!!!
 
Huna mke, hapo una Gubegube acha ufala wewe inaelekea Elimu haijakusaidia kitu

Kwani Elimu inakusaidia kupata perfect woman?au mwenzangu ktk kozi yako kulikuwa na module ya mapenzi!!!Nachojua mm hata uwe msomi kupindukia;bado kuna marital issues zitakuwa na changamoto kwako!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…