Mama mjamzito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama mjamzito

Discussion in 'JF Doctor' started by amigooo, Sep 16, 2012.

 1. a

  amigooo Senior Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hello Mdau,
  Mama mjamzito anahitaji kula vizuri na kufanya mazoezi vizuri ili aweze kutunza afya yake na ya mtoto vizuri.
  Akina mama wengi hawafahamu kuwa ni vyakula gani na ni aina gani ya virutubisho vinavyohitajika kwa ajili ya mwili wake pamoja na mtoto aliye tumboni.
  Mfano mzuri ni kuwa mtoto aliye tumboni mwili wake unapojijenga Calcium nyingi sana hutumika kutoka kwenye mifupa ya mwili wa mama hivyo mama anahitaji sana kupata calcium kutoka kwenye aina ya vyakula. Mfano mwingine mama mjamzito huhitaji sana kuwa na damu ya kutosha mwilini na wapo wengine huenda dukani kununua vinywaji kama Ribena kwa ajili ya kuongeza damu. Mimi napenda nikushauri wewe mama mjamzito, wewe baba mtoto mtarajiwa kuwa mtunze vizuri mama na mtoto aliye tumboni ili azaliwapo aweze kuwa na afya bora ikiwa ni pamoja na kuwa na virutubisho vyote muhimu. Kwa ushauri zaidi ili kuweza kufahamu zaidi vitu vinavyohitajika niandikie kwa healthwealthfirst@gmail.com pia nina lishe na juice nzuri sana vilivyoandaliwa bila kutia kemikali kwa ajili ya afya ya mama mjamzito. Invest in your health first. waweza pia kuwasiliana kwa Bern(0713889162)
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Biashara matangazo!!!
   
Loading...