Global Publishers wanaweza kupata picha za mtu hakiwa guest house na mke wa mtu nini kinayashinda magazeti kupata picha za mama aliyeko hospital au hadithi haziuziki siku hizi.
Hii ni ile laana ya kuua albino imefika kwa Mungu! Yaelekea huko kanda ya ziwa madeal yote ni ya kishirikina tu!! Walianza kunyiga watu, wakaua maalibino, sasa wanataga mayai kama kuku!!