John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Acha uongo hakuna walichofanya wakati kuna mpango jimbo la mamam huyu kusaidiwa na IRAN wachimbe mafuta au hufahamu mahusiano mazuri ya familia ya mama huyu na IRAN?
Ni ushamba kumlaumu mtu kama huyu...mpiganaji pekee ninae mkubali..kuumbua mafisadi si kazi ndogo
Nasitasita kuamini ktk hilo la kuumbua, labda uniambie ni mtu anayejua 'kukazia hukumu' zilizopitishwa na wengine. Lakini labda unishawishi kwa kutaja jambo 1 au mawili aliyoyaanzisha personally.
tangaza maslahi blai 🙂Mbopo hamna la kuongeza, UBARIKIWE TU!
Hata sendeka hamna kitu alicho fanya jimboni kwake cku zao zina hesabika.
msaada!!!!!!!!Acha uongo hakuna walichofanya wakati kuna mpango jimbo la mamam huyu kusaidiwa na IRAN wachimbe mafuta au hufahamu mahusiano mazuri ya familia ya mama huyu na IRAN?