mkkuu kwakweli hilo sifahamu...inaeza ikawa ni kweli
Ila age imeenda kalikuwa 1st runner miss Tz 2006 mpaka leo umbo lake liko vizuri.
hebu funguka, tabia yake ipoje?
Mdada mzuri sana tatizo tabia
ana kijungu matata laini kama nyanya masaro
Ni cha wote
Mdada mzuri sana tatizo tabia
Mmmmm hapa sijakuelewa
Yaani zile nyanya laini sana zinazotumika kutengeneza masalo