jean phillipe beyun
Senior Member
- May 18, 2015
- 142
- 167
Wadau Sina lengo la kuwachosha bali nimeshtuka sana baada ya mama kunipigia simu jumapili na kufoka mno kwamba marafiki wote wa rika langu wameshaoa na wana watoto mm bado nahangaika
Kwamba nampiga chenga kwa miaka mingi lakini mwisho hamna chochote sasa ameshachoka wiki ijayo anakuja na msichana kutoka nyumbani na kuwa wameshamchunguza na wameshaongea na kwao
Nikamuomba mjomba wangu ambae yupo hapa kwangu kwa shughuli zake binafsi aongee na mama kuhusu suala hilo, wakazungumza kwa simu kwa muda mrefu sana mwisho uncle akadai wameshindwa kuelewana
Kilichonishtua zaidi ni mdogo wangu kule nyumbani kunieleza kuwa anahisi kama Kuna dalili za ngombe kuandaliwa kupelekwa mahala flan
Sasa wadau hivi Kuna umri maalum wa mtu kuoa? Sasa Inakuaje mm kufikisha miaka 37 naonekana kama vile nimechelewa sana? kwani Kuna ukomo? Halaf unaniletaje msichana ambae nilimwona akiwa darasa la kwanza? na nimeambiwa kafeli form four hii ya juzi sasa ndio wanirushie mimi
Haiwezekani
Mm sio kwamba Sitaki kuoa ila kila demu naekua nae mwishoni nakuta hafai naanza upya
Pia nilikua nasubiri nimalize ujenzi ndipo mambo ya kuoa yafuate hivyo kwa kuwa nimeshahamia kwangu mwaka huu ningelipa uzito jambo hili, yote haya nimejaribu kumwelewesha mama lakini hataki kuelewa na anadai kwanza wanawake wa mjini hawafai
Hebu tusaidiane kuhusu hili
Kuna mwenye jawabu hapa?