technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Marais wa USA wameua watu wangapi na mbona bado wapo?Damu za watu wote waliotekwa na kupotezwa zikianza kumlilia, itakuwa kazi sana kutoboa.
Huyu afi Ila atapinduliwa kwa nguvu atake asitake.Kila mtu ni nabii, nami nasema huyu mama hafiki 2100 atakuwa amekufa.
Mimi hata hiyo 2060 sijui kama nitatoboa 😂2100 hata wewe na ushababi wako hufiki, ije kuwa bibi yule😅😅
Chawa by convenienceNa 2030-35 atagombea tena katiba tutaibadilisha baada ya tarehe 29, huku wewe ukiwa umejificha juu ya dari unaogopa kuandamana
Na mwenzao NetanyahuMarais wa USA wameua watu wangapi na mbona bado wapo?
Sina maana ya kutetea kinachofanyika Bongo ila acheni ramli
Stop writing nonsense, I don’t have time to waste reading it.Chawa by convenience
As long as you share beliefs
As long as you are opposites
Funny, some people have chosen to be victims of cultural imperialism, they are blinded by those cultures!
Do they choose to go to the Middle East or Maghreb when they are confronted? No, they seen as spoilers to their demographics like what the president of Tunisia declared.
They choose to go to Western Europe the places they bash, or those states which are not of their affiliation they are welcomed and again they want the hosts to follow them
Damn
How did you know it is nonsense without “wasting time” reading it?Stop writing nonsense, I don’t have time to waste reading it.
Aishiye kwa upanga atakufa kwao. Ajifunze kwa Magufuli aliyemshindilia Lissu risasi zaidi ya 20 akaishia kuondoka yeye kwa mafua. Ajaribu aone.Nina mashaka makubwa
Kama atamwaga damu za watu 29/10
Sioni akitoboa 2025-2030
Nina mashaka ya kiimani, kiafya na kimfumo.
Tuendelee kuwepo!!.
I googled for you;Stop writing nonsense, I don’t have time to waste reading it.