Yani ni mwamba miaka yote mama alikua anasema anatuweka kikao na mabinti wengine kuwa tunachagua sana mabwana, tunataka matajiri
tukipata wanaume wenye mapenzi ya kweli tuolewe haijalishi wana hali gani ila ukipata mwenye upendo unajenga maisha, nikamwambia nina mpenzi nmeanza nae kulala chini ila he took me for granted pia naogopaga kukuletea wakwe mana sina bahati sana na wanaume wazuri wazuri na hata mimi hawanivutiagi ila kwa historia yako unayosemaga unawapa kura za ndio vijana watanashati ila hawaoi tukawa tunaongeaga kawaida sometimes
sasa imetokea mtu aliokua anamsema ndio kanasa kwenye ndoano hamtaki kasahau yote
sasa
Ndo nmeutumia ila anaukana inaniumiza sanadah!
Mama mtata!
Ameyajenga, yametokea. Sasa hayataki tena?
Zingatia ushauri wake wa zamani maana ndio umeutumia kufika ulipofika na kufanya ulichofanya.
Nikutakie kila heri
HapanaVipi huyo mtu wako ana watoto?
unaweza kujiuliza hawa wameokotana wapi,japo kumbadilisha mtu inawezekana na kurudi kwenye mstari ila lazima kupima ukubwa wa tatizoImagine binti akuletee mvuta bangi na mnywa pombe
haelewi hiloDah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwonekano wa nje hiyo sio kigezo cha mahusiano ya kudumu. Uzuri wa ndani ya moyo ndio kigezo. Huyo mama anafeli sana
Hivi umeendaga kula bata mahala hata sikumoja?? ukaona hizo bangi/shisha na pombe zinavyonyweka?Imagine binti akuletee mvuta bangi na mnywa pombe
Bdo ana wenge huyo hata ndoa bado28 ni foolish age??..
Hii mpya hii
Mahusiano ni yako, mzazi hayamuhusu inaonekana mama ana sababu nyingine mshirikishe na mzee wako,hata Mimi wakati nataka kuoa mama alikataa nikalazimusha nikamuoa huyohuyo leo tuna miaka 9 ya ndoa ya amani tele na mama angu ni rafiki wa mke wangu hata vitu wanaazimana kwa hio wazazi nao saa nyingine sio wa kuendekeza nao ni binadamu na kwa umri wako ushakua mdada mkubwa kutangatanga utashangaa unazeeka au Mama yako hataki uolewe kama yeye hana ndoa liangalie hilo afu uamue.Habari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
-Wote tumeishia 0- level kielimu
- Mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
- Kwasasa ana biashara zake
-Anataka kunioa pale nikiridhia
Sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-Ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- Aliwahi kuishi na mwanamke
-Anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- Hana mvuto mbele za watu
-Hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- Anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-Kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-Hana hadhi ya kuwa na mimi
Sababu ni nyingi!!
Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- Mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.
Sasa hapo nifanyaje wakuu? Maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! Kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
Nimepata feeling mama yangu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
Maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? Nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
uchunguzi wa kina ni muhimu kuanzia kabila na vinasaba vya familiaHuyo mama ako nae sasa ana tabu, ana ubaguzi wa makabila, sasa wangoni walikosea nn au wana tatizo gan?
Kama alipiga story na nyoka mpaka kikaeleweka huyo Cha mtoto mbona 😁😁😁😁😁😁Mwanamke ni kiumbe jasiri sanaView attachment 2633268
Pole sana mkuu
Wakati mwingine wamama wanasumbua sanaMahusiano ni yako, mzazi hayamuhusu inaonekana mama ana sababu nyingine mshirikishe na mzee wako,hata Mimi wakati nataka kuoa mama alikataa nikalazimusha nikamuoa huyohuyo leo tuna miaka 9 ya ndoa ya amani tele na mama angu ni rafiki wa mke wangu hata vitu wanaazimana kwa hio wazazi nao saa nyingine sio wa kuendekeza nao ni binadamu na kwa umri wako ushakua mdada mkubwa kutangatanga utashangaa unazeeka au Mama yako hataki uolewe kama yeye hana ndoa liangalie hilo afu uamue.
Unashauri asipiganie penzi lake?Msikilize Mama!
Kama jamaa ni kweli anavuta skanka na mzee wa mitungi ya gesi hapo pana tatizo kwakweli... Sema daah mapenzi ni upofu sana huenda kwako huoni kama ni tatzo na ushamkubali hivyo hivyo na ulevi wake...Habari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
-Wote tumeishia 0- level kielimu
- Mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
- Kwasasa ana biashara zake
-Anataka kunioa pale nikiridhia
Sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-Ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- Aliwahi kuishi na mwanamke
-Anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- Hana mvuto mbele za watu
-Hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- Anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-Kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-Hana hadhi ya kuwa na mimi
Sababu ni nyingi!!
Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- Mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.
Sasa hapo nifanyaje wakuu? Maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! Kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
Nimepata feeling mama yangu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
Maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? Nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
Sidhani kama kuna mtu hapa ana ushauri mzuri kwake zaidi ya Mama yake!..lazima Mama kuna kitu ameona, utuuzima dawa!Unashauri asipiganie penzi lake?
Sigara, bangi na pombe havina uhusiano na umalaya. Umalaya ni tabia ya mtu maana hata kuna walokole malaya.Hata mimi nisingekuozesha yaani mwanaume an a kunywa pombe, bangi ,sigara mie hapana wanakuaga malaya mno
Afu pia wewe umeishia olevel na yeye olevel watoto wenu nani atawafundisha? Tafta hata mkaka mwenye diploma mtoto enu awe inspired kusoma kwa bidii
Usitangulize hisia mbelembele
Wana hisia Kali sana,hata rafiki wa kawaida akiwa mkora mkora bi mkubwa akimuona first time utasikia huyu sio rafiki!Sidhani kama kuna mtu hapa ana ushauri mzuri kwake zaidi ya Mama yake!..lazima Mama kuna kitu ameona, utuuzima dawa!
Yes, hakuna mzazi anaependa mkwe haeleweki!Wana hisia Kali sana,hata rafiki wa kawaida akiwa mkora mkora bi mkubwa akimuona first time utasikia huyu sio rafiki!