Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

Anashindana na mwanae game ya dinya dinywa!
Mwanae akidinya na yeye anadinywa daaah!

Haishangazi mwanae kuwa na akili za kuambatana na bashite zirobrain
Ommy Dimpoz mkareeee aseeee
 
Diamond na mama ake walikua na hasira sana ya kua maarufu kwa bahati nzuri Mungu akajichanganya akawapa nyota dadadadekiii wanakamua ipasavyo hawaachi gap,navuta picha unamsikiliza bi mdashi anabonga maneno kama haya heeee heeeee uyu mama atafutiwe meneja wake atawakimbiza akina Shishi na Nandy vibaya mno.
 
Tatizo nini hasa? anasema ameolewa, na ana uja uzito, tatizo nini? Kuwa na mtoto maarufu hakumzuii mama kuendesha maisha yake. mama mwenyewe aonyesha bado umri unamruhusu mwacheni aendeshe maisha yake
 
Hakuna dhambi ya kuzaa, ila ni aibu kama umepita umri wa kuzaa. Huyu si wakushindana na Zari kubeba mimba, bora angekuwa katika ndoa ilikuwa aina shida. Tafsiri yake inaonekana mama malaya
Nnavyoelewa mtu akishavuka umri wa kuzaa (menopause) hawezi kushika mimba, maadam ameweza kushika mimba basi bdo yupo kwenye umri wa kuzaa hayo mengine ni yenu.
 
Jamani bimkubwa c kaolewa sasa kwa nn asipigwe kibendi acha tu Diamond apate mdogo wake
 
Back
Top Bottom