MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Mama Diamond leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amuonesha hawavumi lkn wamo. Ni baada ya kutupia kijivideo flan hivi amaiziiiiiiing ambapo mwenye anaonekana ametupia kiblauzi kimoja matata na juu akaweka kisweta flan hivi chepesi huku akiwa amevaa kimini watoto wa mjini wanaita full kipupwe huku akitembea mwendo wa kimiss.
Mashabiki wa mama huyo kizaa chema kama kawaida yao waliruka kwenye page ya Lundenga nakumtaka awe makini linapokuja suala miss Tanzania maana kuna watu wanaweza kutufikisha mbali kama taifa kwenye mashindano hayo.