Mama anayenyonyesha ruksa kutumia mwarobaini?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,147
2,630
Kama kichwa cha mada hapo juu inavyosema, je mama anayenyonyesha anaweza kutumia mwarobaini kama dawa na kinga? Wadau mnasemaje juu ya hili.
 
Sishauri.
Mama anayenyonyesha na mwenye mimba kula hovyo hovyo hizi dawa za asili
 
Back
Top Bottom