mama ajilinda na watekaji

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441


sasa watanzania hawataki mzahaa tena,huyo ni mama mwenye mguu wa kuku tayari kupambana na watekaji popote pale
 
nimejikuta nacheka mwenyewe, mbona mama mwenyewe kama vile kajisahahu kama ana silaha?
 
Duh hii kali!! Wapi tunaelekea.
 
Jamani Bibi alikuwa anakata majani ya Ngombe porini,akasikia kuwa mkutano wa Chadema akakosa ata muda wa kurudi home na kujiandaa,.hapo alipo akitokea fisadi yeyote lazima ale nae sahani moja
 
Au limama la Chadema nini ? Wale wanaotaka kujitenga na Tz?
 
Au limama la Chadema nini ? Wale wanaotaka kujitenga na Tz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…