Haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa CCM jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea Mbagala charambe mida hii lenye namba T327AWV FUSO

ikiwezekana hata picha kabisa,mie niko jangwani kwa sasa naona wanaendelea kusomba viti vya plastic vyeupe viko kama 1,000 na kujenga stage na wanaandaa mabango.Full ulaghai ukipita mgao wa 10,000 nitakujuza.
Haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa CCM jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea Mbagala charambe mida hii lenye namba T327AWV FUSO
haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa ccm jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea mbagala charambe mida hii lenye namba t327awv fuso
watanzania tunanunuliwa hata kwenye haki? aibu sana kweli umasikini ni mbaya sana. tufikirie kama unawekwa kwenye lori kama ng'ombe za usukumani zikiletwa dar kuchinjwa au viazi mviringo kutoka uporoto tukuyu aibu sana