Malori haya yanaongea ukweli

Ha ha ha hakuna raha kama kusoma maandish nyuma ya malori au daladala kuna misemo ming sana aisee
 
Kitu ambacho huwa wananifurahisha wamiliki wa magari haswa haya ya usafirishaji abiria gari likiwa jipya litapigwa sticker za mabango na mbwembwe nyingi ila likianza kuchoka wanaanza kuandika Mungu yupo Hata bibi alikuwa binti nk
 
Maneno kwenye magari ya Tanzania ya viwonder full tunaomba yapewe kipaumbele
 
Kitu ambacho huwa wananifurahisha wamiliki wa magari haswa haya ya usafirishaji abiria gari likiwa jipya litapigwa sticker za mabango na mbwembwe nyingi ila likianza kuchoka wanaanza kuandika Mungu yupo Hata bibi alikuwa binti nk
Hahahaha noma sana hii sijui kama watakubaliana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…