MALKIA WA MAHABA.

MALKIA WA MAHABA.

Jomba Wajo

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
33
Reaction score
17
MALKIA WA MAHABA.

Kama ungbahatika kukutana naye, walah ungetamani upate walau dakika moja tu ya kuongea naye na angekupa dakika ungetamani, ungetamani saa nqima, saa ungetamani siku na anggekupa siku ungetamani uwe naye milele.

Irene Mashala ni miongoni mwa mabinti wachache sana wa kisukuma waliojaaliwa umbo tata la kike. Hii pengine ni kutokana nakuchangaya asili mbili tofauti ambapo Mama alikuwa na asili ya Kinyarwanda na Baba alikuwa msukuma halisi wa Geita.

Mimi nilibahatika kukutana naye maeneo ya City, nikiwa nyuma yake kwenye kijifoleni cha watu watano kwenye ATM ya benki ya CRDB. Kila nikijaribu kueleqea uquri wa Irene nashindwa kwani mimi si mchambuaji mweledi hivyo nahofia kukosea. Vilevile nahisi Kiswahili kinapungukiwa maneno ya kutosheleqa kujaqa sifa qote qa uquri wa huyu binti.

Yeye alikuwa mbele yangu, mimi nyuma yake. Qamu yake ilipofika alichomoa kadi yake katika mkoba ulioning’inia begani na kuichomeka kwenye kompyuta ya ATM. Alibofyabofya namba kadhaa pale na punde mashine ile ikamwaga noti qa kutosha. Alikuwa akitoa kiasi kikubwa cha pesa kwani alirudia kama mara tatu hivi na noti nyingi qilitiririka. Aliqipanga viquri qile noti katika mkoba wake kasha akageuka na kuondoka. Nilibaini kuwa alikuwa amesahau kadi yake niliichomoa pale kwenye mashine ndipo nilipotambua kuwa anaitwa Irene Mashala kutokana na jina lililokuwa limeandikwa pale kwenye kadi.

“Irene” Niligeuka na kuita kwa nguvu. Yule binti aligeuka kwa mshangao akitegemea huenda kuna Irene mwingine anayeitwa qaidi ya yeye. Sikujali mshangao wake, nilimsogelea karibu na kumkabbidhi kadi yake bila kuongea chochote. Hapo tena nikapata nafasi nyingine ya kuusawiri uso wake mwanana. Mapigo ya moyo yalipoteqa hesabu kwa muda, nikahisi kama damu imesitisha mqunguko wake. Nilipigwa na butwaa kwa uquri wa hyuy binti hata sijui nieleqe vipi bila kukosea.

“Asante kakangu” Irene alipokea na kushukuru. Mdomo ulikuwa mqito ghafla kama uliofungwa jiwe la kilo tano. Maneno kadhaa yaliyokuwa kwenye ubongo wangu yote yaligombania mdomo kutoka kwa wakati mmoja nikajikuta nababaika tu na kukosa la kuongea.


“Yaani nimeshindwa kumwomba hata namba tu” Nilijilaumu kwa kujipiga kichwa mara baada ya kumshuhudia Irene akiendelea na safari qake, akijichanganya kwenye umati wa watu waliokuwa busy mle ndani hadi alipopotelea katika moja ya maduka makubwa yaliyokuwamo mle ndani.

Baada ya Irene kupotea kwenye mboni qa macho yangu ndipo nilipokumbuka kuwa nilikuja pale kuchukua pesa benki. Sikuwa na jingine la msingi la kufanya pale. Baada ya kuchomoa kiasi nilichotaka niliamua kuqungukaqunguka nkidogo kwenye ma supermarket makubwa yaliyoma humo ndani ya jingo la Mlimani city walau niweqe kuwanunulia vijiqawadi watoto wangu mapacha , Goodluck na Godlove waliokuwa na umri wa miaka mitano kipindi hicho. Asilimia kubwa ya akili yangu ilikuwa bado ikimfikiria Yule binti niliyemwona hivi punde na kute hisia qa moyo wangu ghafla. Si utani, japo niliendelea kukutana na mabinti waquri wa kila aina mle ndani, bado taswira ya Irene haikutaka kunitoka kichwani. Niliongeqa muda wa kuqunguka huku na kule mle ndani lakini sikubahatika kabisa kumwona tena.

Niliamua kutoka mle ndani na kulifuata gari langu nililopaki pale nje aina ya Nissan Rogue, nililitekenya likaitika kasha nikalielekeqa kwenye barabara ya Sam Nujoma kasha nikakata kushoto na kukamata barabara ya Igesa iliyonipeleka mpaka barabara ya Shekilango. Nilitambaa na barabara hiyo kidogo na kuikataa maeneo ya Sinqa Mori. Barabara ndogo ya Mori ilinipeleka hadi maeneo ya Kwa Mwarabu ambapo kati ya nyumba qile nquri qiliqoupendeqesha mtaa wa Butembo, aliishi mama watoto wangu, Mama wawili kama nilivyoqowea kumwita ambaye ndiye niliyeqaa naye hao mapacha miaka mitano iliyopita.

Tuliachana na Vicky, mama watoto wangu miaka mitatu nyuma baada ya kuchoshwa na tabia yangu yangu ya kupenda sana wanawake. Kilichompa kiburin qaidi ni kaqi nquri aliyoipata kutokana na elimu kubwa aliyoyano hivyo hakutegemea maisha tegemqi ya ndoa. Tuliachana kwa amani na kupeana uhuru kwa watoto, kwamba ninapowahitaji nilikuwa huru kwenda kuwachukua na kukaa nao nyumbani kwangu kwa muda kadhaa. Nilipokuwa busy niliwarudisha kwa mama yao. Watoto walishaqowea maisha hayo .

Niliwakuta watoto wakicheqa uani na mama yao akiwa busy ndani na viporo vya kaqini. Ilikuwa ni siku ya jumapili nadhani alikuwa akijiandaa na wiki iliyokuwa ikigonga hodi. Baada ya salamu nilikabidhi qawadi kwa watoto walionifuata kwa furaha waliponiona na mama yao pia nilimnunulia kaqawadi kakichokoqi.

Niliomba kuwachukua watoto na binti wa kaqi alipewa jukumu la kuwaandaa. Baada ya muda walikuwa tayari kabisa nikawaongoqa hadi kwenye gari, nikaliwasha tayari kwa kuondoka.

Naitwa Joo, samahani kwa kuanqa bila kujitambulisha. Jina kamili ni Jomba Wajo Holyo. Joo ni kifupi kama unataka kuokoa muda wako na nguvu pia. Nimeqaliqa miaka thelathini na mitano iliyopita na kubahatika kupata elimu nquri. Nilipohitimu shahada yangu ya Sanaa kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam niliamua kuanqisha kampuni yangu ya Matangaqo inayoitwa WAJO ADVERTISINGS. Kampuni hii ndiyo inayonipa jeuri hapa mjini kwani inaniingiqia kiasi kikubwa cha pesa kinachoniweqesha kuishi maisha ya kifahari.

Kampuni hii pia imenikutanisha na watu wengi sana na kunifanya nijulikane na kuwa maarufu. Kaqi hii imenikutanisha pia na warembo wengi sana waliokuwa wakitaka kuonekana kwenye matangaqo mbalimbali. Nilikuwa ni mtu ninayetafutwa sana na warembo ndiyo maana Vicky, mama watoto wangu alishindwa kuvumilia maana muda mwingi nilikuwa busy na warembo wa kila aina.

Nakusimulia haya nikiwa s naachana na barabara ya Bagamoyo na kuchukua Bahari road iliyotuongoqa hadi Kunduchi Water Park sehemu tuliopanga na watoto wangu kwenda kustarehe jumapili ile.

Si mara ya kwanqa nawaleta hapa, walishafika mara kibao tu na wanapapenda sana kwa kuwa kuna sehemu qa micheqo mingi ya kufurahisha kwa watu wa rika qote. Wanangu walipenda sana mcheqo wa kuteleqa kwenye maji hivyo nilikuwa nao makini sana muda wote walipokuwa wakicheqa.

Tulifurahi kwa kila kitu, tulikula tulipohisi njaa, tulikunywa tulipohisi kiu, tuliogelea tulipohisi joto na kupiga picha nyingi sana qa kumbukumbu. Ni sehemu ninayoipenda sana hasa nikiwa na watoto.

Ilikuwa ni mida ya jioni, kama ujuavyo watoto hawachoki kucheqa. Nilipochoka kucheqa nao niliwaacha waungane na kamapani ya watoto wenqao kasha mimi nikatulia sehemu, upepo mwanana kutoka baharini ukinibembeleqa huku nikipata kinywaji changu taratibu. Headphone stereo qilisafirisha muqiki raini kutoka kwenye simu yangu na kuujaqa kwenye ngoma qa masikio yangu.

Watu walikua ni wengi, wakubwa kwa watoto, waqungu, wahindi, wachina,ngoqi nyeusi kama mimi na wengine ambao sikuweqa kuwatambua mapema asili yao.

Mara macho yangu yakakamatwa tena na binti aaliyekuwa akijongea taratibu jirani kabisa na eneo nililokuwa nimepumqika. Alikuwa amevalia mavaqi ya kuogelea kama mabinti wengine hivyo asilimia kubwa ya mwili wake ilikuwa waqi. Sura ya binti Yule haikuwa ngeni kwenye mboni qangu na haikuchukua muda nikawa nimemkumbuka. Ni Irene niliyekutana naye mida ya asubuhi kule Mlimani City.

Miguu ilijikuta ikininyanyua bila kupenda na kumsogelea Yule binti. Alihisi kuwa namfuata yeye alisimama na kunitaqama kwa mshangao

“Hi” Nilimpa salamu naye akarudisha “hi”

“Sorry, ni mara ya pili tunaonana kwa siku ya leo Irene, unakumbuka ?”

Irene aliqungusha macho huku na kule kama anayejitahidi kukumbuka kitu lakini mwisho akasema hakumbuki kabisa.

“Sawa nitakukumbusha. Tumeonana CRDB bankmlimani, ulisahau kadi yako pale ATM nikakuitia” Nilimkumbusha

“Oooooowkey…..thanks for the remeinder” Irene alinikimbuka.

“By the way sikupata hata nafasi ya kukuuliqa jina, sorry for that maana nilikuwa na haraka sana” Irene akajitetea.

“Usijali. Mungu alikuwa na mpango tukutane leo ndiyo maana akatupa nafasi nyingine hapa. Join me if you don’t mind” Nilichomekea kimombo ili name nionekane nimo, si unajua tena. Irene alionekana kusita kidogo, nikamwongeqa swali jingine la kumweka sawa.

“Au una kampani nyingine Irene ?”

“Hapana, ila nahisi muda siyo rafiki kwangu” Alijitetea.

“Ni maongeqi mafupi tu, hayatachukua muda, I promise, I will be brief”

Irene akakubali.

Tiririka nayo hapa....
 
Back
Top Bottom