Malizia sentensi hii uonavyo...

sisi wasichana tukagwawiwa maboyfriend wa kutusaidia masomo.............
 
Kwamba ni She au? Hahaha! Mpwa nakuona umezaliwa upya kwenye ka avatar ketu. Nshakugongea thanks
eee bana, sikujua kama ni She!.
asee kaavatr kame tulia bana.
 
baba mwenye nyumba katokea na kuanza kudai kodi yake, kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…