MALISHO YA MIFUGO

MALISHO YA MIFUGO

TEPU LTD

Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
20
Reaction score
5
Tanzania Educational Publishers (TEPU) ni kampuni inayotoa Elimu kwa Wakulima na Wafugaji kwa njia ya vitabu. Inakutangazia kitabu kipya cha Malisho ya Mifugo kwa Sh.10,000/= kwa mawasiliano tupigie simu 0784690277 au 0768023919 au tembelea tovuti www.tepu.co.tz

Chakula ni muhimu kwa mifugo kama ilivyo kwa binadamu. Chakula kikuu cha mifugo ni malisho.

Kitabu hiki kina sura 7 zifuatazo:
1. Maana na aina za malisho
2. Lishe ya Mifugo
3. Nyanda za malisho ya asili na Uboreshaji wake
4. Malisho ya Kupanda
5. Utengenezaji wa nyasi kavu
6. Utengenezaji wa sileji
7. Uboreshaji wa malisho ya mimea

NYOTE MNAKARIBISHWA.
 
Back
Top Bottom