Malisa akataa ubunge

Japo mimi naiunga mkono CDM ila huyu Malisa ni janga. Sitaki kumharibia hapa ila kama kuna mtu anataka amjue vizuri Malisa aniPM.
 
Here we GO... Wachagga ni zaidi ya Makabila 20 na lunga tofauti 22 sasa sijui Unaongelea nini... Umeona wanautaka Urais Zaidi ya KIKWETE na Benard Membe???

Leadership is a charisma, huwezi kumlazimisha ------ kuwj charismatic kama hakuzaliwa hivyo.So stop blaming Chaggas who were born charismatic.Amka.
 
Leadership is a charisma, huwezi kumlazimisha ------ kuwj charismatic kama hakuzaliwa hivyo.So stop blaming Chaggas who were born charismatic.Amka.
 
sawa kimpango wake hata ubunge agombanie sio mbaya.
 
kaka mbona unakua mkali,...pambana kwa hoja

Ukali UKO WAPI? MIMI sio MCHAGGA ninajaribu kueleza sababu kuna ARTICLE MOJA iliwekwa HAPA kuhusu kwanini waliitwa WACHAGGA na kuna MAKABILA MANGAPI; LUGHA NGAPI na DINI NGAPI sio Sawasawa na Wasukuma au Wahaya Utofauti wao ni DINI lakini LUGHA ni HIYO HIYO maybe lafudhi ya Lugha ni tofauit tu...

Kwahiyo kwanini Tusiseme Ukweli kama UPO? Hasira IKO WAPI? Matatizo ndio HAYA ili kuleteana CHUKI inabidi KUKIMBIA KUSEMA UKWELI na kukimbilia UONGO na kutojali HISTORIA ili tu KUJAZIANA PROPAGANDA za UONGO na CHUKI ili tu KUFANIKIWA KUUWA; KUVUNJA MENO au KUNYOFOA JICHO la Mwananchi HURU... Hembu angalia HII inatokea wakati wa FREEDOM of SPEECH na MULTI PARTY; wakati wa CHAMA kimoja hata SIKU MOJA hatukusikia HAYA...
 
Leadership is a charisma, huwezi kumlazimisha ------ kuwj charismatic kama hakuzaliwa hivyo.So stop blaming Chaggas who were born charismatic.Amka.

U know I did not BLAME the CHAGGA's I BELIEVE U READ MY POST RIGHTLY???
 
Malisa huyu ndio yule Mchungaji Dr.aliyegombea Ubunge mwaka 2010 kwa kupitia Chama cha TLP kule Moshi Vijijini? Ndio huyu Mkurugenzi wa kampuni ya Utalii KASA ambayo ina makao makuu yake Moshi na ofisi nyingine Houston - Texas?
 
who cares about you? hata hivyo unajua fika kuwa huwezi kumtoa ndesa pale, acha kujishaua.
kila mchaga anataka kuwa kiongozi, funny!

Here we GO... Wachagga ni zaidi ya Makabila 20 na lunga tofauti 22 sasa sijui Unaongelea nini... Umeona wanautaka Urais Zaidi ya KIKWETE na Benard Membe???

Inaudhi sana tena sana watu karne ya 21 tunazungumzia ukabila tuu!! Tubadilike....
 
Here we GO... Wachagga ni zaidi ya Makabila 20 na lunga tofauti 22 sasa sijui Unaongelea nini... Umeona wanautaka Urais Zaidi ya KIKWETE na Benard Membe???
Usihamaki mkuu huku jf utani kibao
 
Inaudhi sana tena sana watu karne ya 21 tunazungumzia ukabila tuu!! Tubadilike....

Tatizo ni kuwa KIONGOZi wa NCHI wa Sasa HIVI ndie anaeleta na kushinikiza UTENGANO wa Wananchi wa NCHI hii ili aweze kutawala bila kujulikana UDHAIFU wake KIUONGOZI...

Wewe ntu kasomea UCHUMI anafurahia KUKOPA KOPA FEDHA NJE ya NCHI BILA TATIZO? Anasikia na KUONA Jinsi UDINI ulivyokuwa NCHINI kuna hadi Cassatte's na VIDEO za kuelezea UBAYA wa DINI fulani dhini a DINI nyingine na hakuna anayesema CHINI ya UONGOZI kuwa ni MAKOSA na ni MAKOSA...

Sasa Hata UKABILA unaendekezwa... Kama bila Amani na Usawa wetu tungepata Marais toka Makabila Madogo?
 
Godlisten ni kamanda wa chadema pure.

Kama CDM wangekua wanafuata Falsafa ya NdesaPesa wangekua mbali sana huyu mzee kabla ya kugombea kwa mara ya kwanza alitafuta uungwaji mkono kwa makundi yote bila kujali Dini zao, hata sasa kabla ya kutangaza kwamba hatagombea tena Uchaguzi wa 2015 kafanya yale yale kazunguka kwa Makundi yote kuwaambia kwamba Sigombei lakini nina Mgombea nataka mumuunge mkono mnasemaje? wakamuuliza nani akasema Meya wetu, wakamwambia sawa. Baada ya vikao na kutembelea makundi yote ndiyo akaja kwenye Mkutano wa hadhara na kumtangaza Meya wa Moshi kwamba ndiyo atamrithi na nina matumaini kwamba CCM hawatapata Jimbo. kuna la kujifunza hapo kwa hiyo hao wanaotaka Udiwani waendelee.
 
Huyu atakuwa mchagga wa kwanza kuikataa pesa na sidhani kama huu msimamo wa 2013 bado anao..

Japo wewe ni mpiga debe wa ccm umenifanya nicheke sana. Ati atakuwa mchaga wa kwanza kuikataa hela

Mkuu we una maskhara na wachaga..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…