super mimi JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 223 Reaction score 173 Jan 30, 2017 #1 Heshima kwenu wanajamvi... Nakumbuka kuna kipindi serikali ilitangaza kwamba kila wimbo utakaopigwa redioni basi msanii husika atalipwa kiasi flani cha pesa. Kwa anayejua kuhusu suala hili tujuzane, utaratibu huu bado upo?
Heshima kwenu wanajamvi... Nakumbuka kuna kipindi serikali ilitangaza kwamba kila wimbo utakaopigwa redioni basi msanii husika atalipwa kiasi flani cha pesa. Kwa anayejua kuhusu suala hili tujuzane, utaratibu huu bado upo?
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,138 Jan 30, 2017 #2 Hapo wengine hata hawatasikika
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,692 Jan 30, 2017 #3 Mmm itakuwa ni kenya sio tanzania nchi ya matamko