Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma.
Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu.
Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?

Developer wa Bongo mifumo unga unga mwana kwa kutumia outdated technology kwa hio kua mvumilivu yale yale unaenda Ofisi ya Serekali unaambiwa mfumo haufanyi kazi no network,
Outdated technology unga unga mwana nyingi sana, mfumo una umwa umwa kila baada ya mda unamezeshwa vidonge, ukibebeshwa mzigo mzito una-collapse mpaka ujengwe upya