Malipo ya sensa

Nahisi typing error mimi pia nimeulizwa hivo nikawauliza semina hadi mwezi wa 9??? Wakasema ww jibu Upo tayar au hapana
nikasema Nipo tayar sasa semina mwez hadi wa 9 Inamaana sensa inapelekwa mbele au??
Zoezi zima ni hadi September, semina ya sensa na sensa yenyewe.
 
Sio kwamba semina itafanyika siku zote 21, Bali itagawanyika kwa week 3, week ya kwanza walio fanya usaili day one, week ya pili walio fanya usaili day 2, na week ya tatu walio fanya usaili day 3. Kwaio semina ni siku 5 kwakila group + 1ya sensa itakua siku 6....
 
Huo ni uongoo
 
Ngazi ya taifa siku 21,mkoa 21 ngazi ya wilaya wamesema siku 21
Unataka sema mh. Makinda ana tudanganya?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sisi tumefanya usaili wote siku moja, una lipi la kusema afisa kipenyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…