Malipo ya sensa

Uzi wa 2012 bado haukupata majibu halisi ya malipo ya karani, msimamizi wala mtu wa IT.
 
Kutopatikana majibu stahki ya malipo,inaonyesha humu tuna watu wa juujuu,yaani wasiojua ya ndani.
 
Yaani wabongo tukishapataga ni kama tunayasahau kabisa ya nyuma.

Huu uzi watu kibao nahisi walipata ila wakiona tu comments za huu uzi wanapuuza tu coz washafanikisha.

Kama wangerudi kutoa mrejesho ule uzi wetu pendwa wala kusingekua na minyukano ya hali ya juu.
 
Chonde chonde msije mkatufanyie kama Ngoswe, Takwimu tunazihitaji sana ili tuimarishe milo yetu kwa urefu wa kamba zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…